UKURASA WA 245; Uchovu Wa Maamuzi.

By | September 2, 2015
Kadiri unavyofanya maamuzi mengi ndivyo unavyochosha utashi wako na hivyo kushindwa kufanya mambo ya msingi. Kila siku unapoamka asubuhi utashi wako unakuwa kwenye viwango vya juu sana. Lakini kila unapoanza kutumia utashi huu kufanya maamuzi unaupunguza na hatimaye kuchoka kabisa. KADIRI UNAVYOFANYA MAAMUZI MENGI NDIVYO UNAVYOCHOSHA UWEZO WAKO WA KUTENDA.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz