UKURASA WA 689; Hofu Mbili Zinazowazuia Wengi Kufanikiwa, Na Jinsi Ya Kuzishinda.

By | November 19, 2016
Hofu ndiyo sumu inayoua mafanikio zaidi ya kitu kingine chochote. Hofu imewazuia watu wengi kufanyia kazi ndoto za maisha yao. Hofu imewatisha watu kuendelea hata baada ya kuwa wameanza. Na hofu imekuwa inatumiwa na watu kuwarudisha wengine nyuma. Kama huamini hili hebu jiulize wewe mwenyewe, kama usingekuwa na hofu yoyote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In