UKURASA WA 1100; Mtu Pekee Wa Kumwonea Aibu Ni Huyu…

By | January 4, 2018
Moja ya vitu vinavyowasukuma wengi kudanganya au kutafuta njia zisizo sahihi za kufanya mambo, ni kuwaonea wengine aibu. Kuona kama wengine wakijua ukweli ulivyo, basi watawadharau na kuona hawafai. Hivyo watu wanadanganya, au kuigiza mambo ili wengine wasiwachukulie kwa namna ya tofauti. Kwa kudanganya huko au kuigiza, watu kwa nje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In