UKURASA WA 604; Kucheza Salama…

By | August 26, 2016
Kuna njia mbili za kuyaendea haya maisha; Unaweza kucheza salama, ukaenda ukinyata, usitake kuonekana, wala kukosea na ukawa na maisha ya kawaida sana, ambayo hata wewe huyafurahii. Na yale matatizo ambayo ulifikiri utayaepuka kwa kucheza salama, bado yakaendelea kukuandama. Njia ya pili ni kucheza kwa viwango vyako, huogopi kukosea wala

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In