Jifunze Kiingereza, Itakusaidia Sana Kufikia Malengo Yako.

By | June 12, 2014
AMKA MTANZANIA imekuwa na utaratibu wa kuwatumia vitabu wasomaji ili kujifunza na kujihamasisha zaidi. Vitabu ambavyo huwa vinatumwa ni vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza. Tokea kuanza kwa zoezi hili kuna watu wamekuwa wakiwasiliana na mimi kunieleza changamoto kubwa inayowazuia kusoma vitabu ninavyotuma. Changamoto hiyo ni lugha ya kiingereza. Hivi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In