Unataka Kufanya Biashara na Huna Mtaji? Unaweza Kuanzia Hapa

By | October 22, 2014
Moja ya vikwazo vinavyowazuia watu wengi kuanza biashara imekuwa ni mtaji.Japo mtaji sio kikwazo chenyewe, kuna mambo mengi yanawazuia watu kuingia kwenye biashara ila wao wanasingizia mtaji tu.Basi kama wewe unafikiri tayari una kila kinachohitajika ili iuweze kufanikiwa kwenye biashara kasoro mtaji tu, leo utajifunza baadhi ya biashara utakazoweza kuanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz