RICHEST MAN; Tiba Saba Za Mifuko Iliyosinyaa(1-3)

By | October 23, 2014
TIBA YA KWANZA; Anza kunenepesha mfuko wako. Arkad alianza mafunzo yake kwa kuwauliza wanafunzi wake maswali. Alimuuliza mmoja unafanya kazi gani? Akamjibu ni mwandishi na anawaandikia watu. Arkad alimjibu hata yeye alikuwa anafanya kazi hiyo na ndio ilimpatia fedha yake ya kwanza aliyowekeza. Alimwambia hata yeye anaweza kufanikiwa sana kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: THE RICHEST MAN IN BABYLON

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz