Mwalimu Anakusubiri, Chukua Hatua Sasa…

By | December 5, 2014
Mwanafunzi anapokuwa tayari mwalimu hutokea… Huu ni usemi wa kale kidogo ila unaobeba maana kubwa sana. Mwanafunzi anapokuwa tayari mwalimu hutokea, sio kwa sababu mwalimu alikuwa anasubiri mwanafunzi awe tayari ndio ajitokeze bali mwalimu alikuwepo muda wote ila mwananfunzi anapokuwa tayari ndio anamuona mwalimu kuwa yupo. Mambo mengi kwenye maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In