UKURASA WA 20; Geuza Changamoto Kuwa Fursa.

By | January 20, 2015
Changamoto au vikwazo unavyokutana navyo kwenye maisha vinaweza kukukatisha tamaa na vile vile vinaweza kuwa fursa nzuri ya wewe kufikia mafanikio. Hakuna kitu chochote kinachotokea kwenye maisha yako ambaho huwezi kukigeuza kuwa fursa nzuri ya wewe kupata mafanikio zaidi. SOMA; #HADITHI_FUNZO; Kikwazo Kinavyoweza Kugeuka Kuwa Fursa. Katika kila tatizo unalipata,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In