NENO LA LEO; Mafanikio Sio Mwisho, Kushindwa Sio Kiyama…

By | January 20, 2015
“Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.” Winston Churchill Mafanikio sio mwisho, kushindwa sio kiyama; ni ujasiri wa kuendelea ndio unaohitajika. Usifikiri ukifikia mafanikio ndio mwisho wa kila kitu, mambo bado yanaendelea sana. Kushindwa sio mwisho wa dunia, maisha bado yanaendelea.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In