NENO LA LEO; Chagua Kitu Hiki Kizuri…

By | January 22, 2015
“Life is change. Growth is optional. Choose wisely.” Karen Kaiser Clark Maisha ni mabadiliko. Kukua ni uamuzi. Chagua kwa makini. Maisha yanabadilika kila siku, ila kuamua kubadilika na kukua hiyo ni juu yako mwenyewe. Kama ukichagua kwa mwakini na ukaendana na mabadiliko utaboresha maisha yako. Chagua leo kukabiliana na mabadiliko

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In