MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIRI YA 3 YA MAFANIKIO; Mtazamo Wako Utaamua Mafanikio Yako.
Mtazamo wako ni picha ya akili yajo. Ni jinsi ambavyo unaona vitu. Mafanikio yako yatatokana na kile unachoona, iwe unaona uwezekano au unaona changamoto. Kuwa na mtizamo chanya hakukuhakikishii mafanikio. Lakini unaookuwa na mtizamo chanya una nafasi kubwa ya kufanikiwa. “Things turn out the best for the people who make