NENO LA LEO; Angalia Hapa…

By | March 1, 2015
It is better to look ahead & prepare than to look back & regret. -Jackie Joyner-Kersee Ni bora kuangalia mbele na kujiandaa kuliko kuangalia nyuma na kujutia. Jana imeshapita, jambo lolote ulilofanya jana huwezi kulibadili tena, ila unaweza tu kujifunza. Kesho bado haijafika, ila unaweza kuishi vizuri leo na kujiandaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In