UKURASA WA 59; Kabla Hujabadili Tabia Zako Badili Hiki Kwanza…

By | February 28, 2015
Hakuna shaka kwamba huwezi kufikia mafanikio kama utaendelea kufanya kile ambacho unafanya sasa na kwa mtindo ambao umekuwa unautumia miaka yote. Kama utaendelea kufanya kile unachofanya utaendelea kupata matokeo unayopata. Njia ya kupata matokeo tofauti ni kufanya mambo tofauti au kufanya mambo kwa utofauti. SOMA; SIRI YA 34 YA MAFANIKIO;

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In