NAFASI MOJA YA KAZI; Changamkia haraka.

By | March 14, 2015
Kuna mtu anahitaji kufanya mazoezi ya mwili ila ratiba yake imembana sana hivyo anakosa muda wa kufanya mazoezi. Hivyo anatafuta mtu yeyote ambae yupo tayari kumsaidia kufanya mazoezi na atamlipa kiasi atakachohitaji. Kwa hiyo kama unaweza kufanya mazoezi na huyu mtu akanufaika kwenye mwili wake, nafasi ipo. Swali ni je

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In