NENO LA LEO; Kitu Kimoja Kitakachokujengea Kujiamini Na Kujithamini.

By | March 15, 2015
Nothing builds self-esteem and self-confidence like accomplishment. -Thomas Carlyle Hakuna kinachoweza kukujengea kuajiamini na kujikubali kama kukamilisha jambo. Unapokamilisha jambo lolote ulilopanga kufanya unapata hali kubwa ya kujiamini na kujithamini. Ila pale unapopanga kufanya kitu halafu ukashindwa kukikamilisha unajiona huna thamani na hata kujitharau. Kama unataka kuanza kujijengea tabia ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In