NENO LA LEO; Kama Hujui Unakoenda Utaishia Hapa.

By | April 4, 2015
“If you don’t know where you are going, you’ll end up someplace else.” ― Yogi Berra Kama hujui ni wapi unakoenda, utaishia sehemu yoyote ile. Hasara kubwa kwenye maisha ni kuishi maisha ambayo hujui yanakupeleka wapi. Haya ni maisha ambayo hayana malengo na mipango. Ni maisha ya kufanya chochote kinachojitokeza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In