UKURASA WA 96; Kila Suluhisho Linatengeneza Tatizo, Chagua Ni Tatizo Gani Unataka.

By | April 6, 2015
Tulishakubaliana kwamba hakuna maisha ambayo hayana matatizo. Kila maisha yana changamoto zake na huwezi kuzikimbia changamoto kwenye maisha. Kama unafikiria maisha ambayo hayana changamoto basi hayo ni maisha ya ufu. Yaani maisha yako yatakoma kuwa na changamoto pale ambapo utakufa. Lakini wakati wote ambao utakuwa hai, matatizo na changamoto ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In