MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
ELIMU SIO UFUNGUO WA MAISHA; Hiki Hapa Ndio Ufunguo Halisi Wa Maisha.
Hakuna anayekataa kwamba elimu ni muhimu sana tena sana. Na elimu zote mbili yaani rasmi na isiyo rasmi ni muhimu sana ili kuweza kuyakabili mazingira yetu, kupambana na changamoto tunazokutana nazo na hata kuboresha maisha yetu. Elimu ni muhimu kwa ajili ya kufikia maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa