UKURASA WA 100; Usipige Kelele, Fanya Watu Waone…

By | April 10, 2015
Kama unaweza, huna haja ya kupiga kelele ili uonekane kwamba unaweza. Njia rahisi ya wewe kuonesha wkamba unaweza ni kufanya kile ambacho unaweza, tena ukifanye kwa ubora wa hali ya juu sana kuliko ambavyo imewahi kufanya na mtu mwingine yeyote. Kuwapigia watu kelele kwamba unaweza, kutaka na wewe uonekane kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In