MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Hiki Ndio Kipimo Cha Upendo.
The degree of loving is measured by the degree of giving. -Edwin Louis Cole Kiwango cha upendo kinapimwa kwa kiwango cha kutoa. Tunapima kiwango cha mtu cha upendo kwa kiwango ambacho yupo tayari kutoa. Upendo sio maneno, bali ni matendo. SOMA; Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha