Mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ubia wa kibiashara.

By | June 22, 2015
Moja ya njia rahisi za kuingia kwenye biashara au kukuza biashara yako ni kuingia kwenye ubia na mtu mwingine. Watu wengi wametumia njia hii, ila ni wachache sana ambao wameweza kufanikiwa kuendesha biashara zao vizuri kwa njia hii ya ubia. Watu wengi wanaoingia kwenye ubia wamekuwa wakiishia kugombana na kushindwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In