UKURASA WA 176; Hiki Ni Kipimo Kibovu Sana Cha Kupima Mafanikio Yako.

By | June 25, 2015
Kuna watu walikaa chini wakaamua kwamba kuwe na mtihani mmoja na wanafunzi wote waufanye, atakayepata maksi nyingi ndio amefaulu, atakayepata chache amefeli. Kuna watu pia wamekaa wakakubaliana kwamba ukiwa na magari ya kifahari, ukawa na nyumba ya kifahari na fedha isipokuwa tatizo kwako basi wewe umefanikiwa. Vyote hivi vinaweza kuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In