BIASHARA LEO; Sababu Za Kijinga Zinazokupotezea Wateja Kwenye Biashara Yako.

By | June 25, 2015
Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilalamika biashara ni ngumu, biashara hazina wateja, biashara zina ushindani mkali na mengine mengi. Lakini kila ukichunguza biashara nyingi unaona makosa mengi ya kijinga ambayo wafanyabiashara wamekuwa wanafanya na yanawafukuza wateja. Yaani naweza kusema kwamba kama biashara inakufa, asilimia 90 ya sababu za kufa kwa biashara hiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In