UKURASA WA 179; Unataka Kuwazidi Wengine? Umeshapotea.

By | June 28, 2015
Kwanza kabisa nikiri kwamba mimi huwa napinga sana dhana ya kushindana. Ndio kuna wakati ushindani unaonekana ni mzuri, lakini tatizo linakuja kwamba ukishakuwa na akili ya kushindana ndio unadumaa. Kama unakuwa na akili ya kushindana maana yake lengo lako kubwa ni kuwazidi wengine. Kuwa wa kwanza, kuwa bora zaidi ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In