UKURASA WA 195; Dunia Inapenda Washindi, Usiumizwe Na Hilo.

By | July 14, 2015
Wakati unaweka juhudi za ziada zaidi ya wengine hakuna atakayekutukuza, na wengine wengi watakukatisha tamaa. Wakati wewe unafanya kazi wakati wengine wamepumzika, wanastareheka hakuna atakayekuwa anakumulika, na wanaojua watakuwa wanakubeza na kukuona hujui unachofanya. Kama utaendelea kung’ang’ana na kuweka juhudi licha ya watu kukususa na wengine kukukatisha tamaa, unajua ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In