UKURASA WA 196; Kama Huwezi Kujibu Swali Hili Hujui Maisha Yako Yanakoelekea.

By | July 15, 2015
Siku zote huwa nasema kwamba kuna ‘emergency’ chache sana kwenye maisha. Ile hali kwamba jambo limetokea na watu wanashangaa limetokeaje ni kuamua tu kutumia unafiki wetu wenyewe. Ni sawa na shimo ambalo lipo njiani kwa muda mrefu lakini watu wanaliangalia tu, siku moja linasababisha vifo watu wanasema ni ajali. Hapana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In