Unategemea Ulipwe Kwa Muda? Hiyo ilikuwa Mwaka 47, Amka.

By | August 7, 2015
Hakuna atakayekulipa kwa sababu tu umekuwa kwenye kazi muda mrefu au kwa sababu unaonekana unafanya kazi muda mrefu. Utalipwa kulingana na thamani unayozalisha. Ukilazisha thamani kubwa unapata malipo makubwa. Kama unazalisha thamani ndogo, au huzalishi kabisa thamani, unategemea nini? Leta mabadiliko leo, fanya kitu kwa utofauti na hakikisha unaongeza thamani.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity