UKURASA WA 265; Acha Kutoroka Tatizo.

By | September 22, 2015
Binadamu sisi ni wajanja sana. Tunaweza kufanya kila kitu ili kutoroka tatizo na sio kulitatua. KUFUKIA KICHWA KWENYE MCHANGA HAKUFANYI TATIZO LIONDOKE, USITOROKE TATIZO, LITATUE. Kwa nini tunafanya hivi? Kwa sababu kutatua tatizo kunatutaka tufanye vitu ambavyo hatujisikii vizuri kufanya, au kunatuhitaji tubadilike. Lakini sisi hatupendi kubadilika, hatupendi kufanya vitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz