UKURASA WA 277; Acha Kuua Ndoto Za Wengine.

By | October 4, 2015
Jana tulishirikishana kuhusu maadui zetu ambao ni watu wa karibu sana, ndugu na rafiki zetu.(kama hukuisoma bonyeza hapa) Msomaji mwenzetu alitaka twende mbali zaidi, sio kufikiri tu nani ni maadui zetu, bali sisi wenyewe tumekuwa maadui wa wakina nani. Na hii ni sahihi na muhimu sana kufanya kama kweli unataka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In