Jiridhishe na mambo haya kabla hujasema NDIO kwa mkopo wa biashara.

By | October 12, 2015
Ili biashara yako iweze kukua, unahitaji ongezeko la mtaji kadiri muda unavyokwenda. Na mtaji wako unaweza kuuongeza kutokana na faida unayopata kwenye biashara, japo hii itakuchukua muda mrefu. Lakini pia unaweza kuongeza mtaji wa biashara yako kwa kupokea fedha nyingi kwa wakati mmoja kutoka kwa watu au taasisi mbalimbali. Fedha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz