UKURASA WA 310; Leo Tumalize Vitu….

By | November 6, 2015
Hakuna kitu kinakunyonya nguvu kama ambacho umefanya na kuishia njiani. Mawazo yako yanabaki kwenye kitu kile na hivyo kushindwa kusonga mbele zaidi. Kila utakapofikiria kufanya kitu kipya unajikumbusha kwamba kuna kitu hujamaliza. Na unapokuwa unafanya kitu halafu ukaishia kati kati, ni vigumu sana kuja kuanza tena, kuja kuanza tena kunaonekana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In