UKURASA WA 348; Vitu Vidogo Vinavyoweza Kuharibu Siku Yako….

By | December 14, 2015
Mara nyingi huwa tunaruhusu vitu vidogo vidogo sana kuharibu siku zetu. Na sio vitu vile vinaharibu, bali sisi wenyewe tunaharibu siku zetu kutokana na vitu hivyo. Na vitu hivi vidogo vinatokana na mjumuiko wetu na watu wengine. Labda umempigia mtu simu hakupokea, na hata baadae hakukupigia tena. Au umemtumia ujumbe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In