UKURASA WA 349; Aina Mbili Za Maamuzi…

By | December 15, 2015
Maamuzi yoyote tunayofanya kwenye maisha yetu, yamegawanyika katika aina mbili. Aina ya kwanza ni maamuzi tunayofanya kwa kusukumwa na hofu, unafanya maamuzi kwa sababu unahofia kitu fulani kitatokea au hakitatokea. Aina ya pili ni maamuzi tunayofanya kwa kusukumwa na mapenzi au ukuaji, hapa unafanya maamuzi kwa sababu unataka kukua zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz