UKURASA WA 374; Hiki Unachotaka Hakijawahi Kutokea Kabisa Duniani….

By | January 9, 2016
Moja ya vitu ambavyo wewe kama rafiki yangu nakusihi sana uache ni kujidanganya. Ndiyo umekuwa unajidanganya sana, huenda unajidanganya ukijua au mara nyingi unakuwa hujui, ila umekuwa unajidanganya sana. Na hilo limekuwa linakugharimu kwa kiasi kikubwa sana, na kukuzuia kufikia mafanikio. Kuna mambo ambayo umekuwa unataka na kuamini unatakiwa kuyapata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In