UKURASA WA 373; Usiingilie Kazi Za Watu….

By | January 8, 2016
Wazungu wanasema MIND YOUR OWN BUSINESS, yaani jali shughuli zako mwenyewe. Lakini wengi tumekuwa tunajali sana kuhusu shughuli za wengine, hasa pale ambapo tunahisi zinahusiana na sisi. Na tumekuwa tunaingilia kazi za wengine, na hili limekuwa linaturudisha nyuma sana. Mfano wa kazi za wengine ambazo tumekuwa tunaingilia; Kuna watu wanaitwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In