UKURASA WA 389; Kila Mtu Anaweza, Ila Wewe Usifanye….

By | January 24, 2016
Kila mtu anaweza kumshushia mwingine chini, ila ni mashujaa peke yake ambao wanaweza kuwainua wengine. Kila mtu anaweza kumkatisha tamaa mwingine, kumwambia anachofanya hakitafanikiwa au atashindwa, ni wachache sana wanaoweza kutoa moyo kwa wengine. Kila mtu anaweza kumsema mwingine vibaya, kumsengenya kwa wengine na kusambaza maneno ya uzushi. Ni wachache

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In