UKURASA WA 392; Unatafuta Wa Kulaumu….

By | January 27, 2016
Unapokutana na changamoto kwenye maisha yako, changamoto kubwa ambayo inakuhitaji kufanya maamuzi muhimu, hufanyi maamuzi hayo wewe. Badala yake unatafuta ushauri kwa wengine, na wengine wanakupa ushauri, na kwa sababu wewe hujakaa chini na kuitafakari changamoto hiyo kwa kina, unaona ushauri uliopewa ni bora na kuuchukua kama ulivyo na kufanyia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In