UKURASA WA 395; Thamani Ya Kile Tulichonacho Kila Siku…

By | January 30, 2016
Tangu tunakua, tumejengewa tabia ya kuzoea kile ambacho tunacho kila siku, na kutokukipa thamani kubwa. Lakini kile ambacho hatuna kila siku, kile ambacho tunakiona au kukipata mara chache sana, huwa tunakipa thamani kubwa. Gharama ya madini yanayotumika kwenye urembo au mapambo, haitokani sana na utofauti wa madini hayo, bali upatikanaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz