UCHAMBUZI WA KITABU; The Truth About Innovation (Ukweli Kuhusu Uvumbuzi).

By | February 19, 2016
Tunaishi kwenye dunia ambayo mabadiliko yanatokea kwa kasi kuliko kipindi chochote kuwahi kutokea. Ukiangalia tangu zama za mawe, ilichukua muda mrefu sana kufikia zama za chuma, na baadaye mapinduzi ya viwanda. Lakini tangu tumeingia kwenye zama hizi za taarifa, kugunduliwa kwa mtandao wa intaneti kumeleta mabadiliko makubwa na ya haraka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: UCHAMBUZI VITABU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz