UKURASA WA 455; Waelewe Watu…

By | March 30, 2016
Usipokuwa makini siku yako nzima inaweza kuharibiwa na watu. Au hata kazi yako au biashara yako ikaharibiwa na watu wengine. Japo ni jambo ambalo ni la kizembe, kwa wewe kukubali mtu mwingine akuharibie chochote ambacho ni chako, lakini imekuwa inatokea. Ni mara ngapi umekuwa ukilaumu watu kwamba wamekuharibia siku yako,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In