UKURASA WA 477; Adui Namba Moja Wa Ubora…

By | April 21, 2016
Adui namba moja wa ubora ni uzuri. Tunapofanya kitu kizuri, tunaridhika na kuona hapo tayari tumeshamaliza kila kitu. Tunaona kama tayari tumefikia kilele cha mafanikio na hivyo kuacha kuweka tena juhudi. Na hapo ndipo tunapoacha kabisa kuendea ubora. Uzuri ni adui mkubwa sana wa ubora kwa sababu kwa asili binadamu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In