UKURASA WA 525; Mahitaji Ya Msingi Na Anasa…

By | June 10, 2016
Profesa mmoja aliwahi kutuambia darasani ya kwamba kwa uzoefu wake na kufanya kazi ya kufundisha kwa zaidi ya miaka 40 amejifunza kitu kimoja kuhusu maisha. Alisema ya kwamba huhitaji vitu vingi ili kuwa na maisha mazuri, bali unahitaji vitu viwili pekee. Kitu cha kwanza ni milo miwili kwa siku. Kula

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In