UKURASA WA 667; Umuhimu Wa Vitu Kwenye Maisha Yetu…

By | October 28, 2016
Kwenye maisha yetu kuna vitu ambavyo tumekuwa tunavipa umuhimu mkubwa sana. Tumekuwa tunaona bila ya vitu hivi maisha yetu hayawezekani kabisa. na tumekuwa tunang’ang’ania vitu hivi mpaka wakati mwingine kutuletea matatizo kwenye maisha yetu. Kwa kuona vitu fulani ni muhimu sana kwenye maisha yetu, tumekuwa ‘bize’ kupita kiasi, tukiamini kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In