UKURASA WA 684; Hutajiriki Kwa Siku, Unatajirika Kwa Miongo…

By | November 14, 2016
Moja ya sababu zinazopelekea watu kukosa vitu wanavyotaka, ni kukosa maarifa sahihi ya kile wanachotaka. Yaani watu wanajua kabisa ni nini wanataka, ila hawajui njia sahihi ya kupata kile ambacho wanakitaka. Na hii inawapotezea muda kujaribu vitu ambavyo haviwezi kuwapatia kile wanachotaka. Moja ya maeneo ambayo watu wamepotezwa sana ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In