UKURASA WA 685; Usishangazwe Na Jambo Lolote Linalotokea…

By | November 15, 2016
Kuna mambo mengi kwenye maisha ambayo yamekuwa yanawashangaza wengi. Yaani jambo linatokea na wewe unabaki mdomo wazi kwa sababu hukutegemea jambo hilo litokee. Mfano wewe ni mwajiriwa na ghafla unafika kazini na kupewa kazi ya kwamba huna kazi tena. Au wewe ni mfanyabiashara na ghafla unashangaa umepata hasara kubwa kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In