MAADILI BINAFSI – Kuhusu Kutafuta Umaarufu.

By | April 9, 2017
Seneca anasema, watu hawana furaha kwa sababu hawajui hasa ni nini wanataka kwenye maisha yao. Wanakazana kutafuta umaarufu wakiamini wakiwa nao watakuwa na furaha, lakini kila umaarufu una gharama zake. Kwanza kabisa unapotaka wengine wakukubali, maana yake inabidi ufanye yale wanayotaka wao. Na hivyo huwezi kuishi maisha yako, hivyo hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In