MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mambo 31 Niliyojifunza Kwenye Miaka 31 Ya Forbes Kufuatilia Mabilionea.
Jarida la Forbes limejizolea umaarufu kwa utaratibu wake wa kutoa orodha ya mabilionea wa dunia kila mwaka. Mwaka huu 2017 limetoa orodha ya mabilionea ambapo kwa sasa wapo mabilionea 2,043 ambapo ni ongezeko la asilimia 13 kutoka idadi ya mabilionea mwaka 2016 ambao walikuwa 1,810. Utajiri wa mabilionea hao kwa