BIASHARA LEO; Urahisi Wa Biashara Na Thamani Ya Biashara…

By | June 17, 2017
Biashara rahisi kufanya, thamani yake ni ndogo, na biashara ngumu kufanya, thamani yake ni kubwa. Kwa maneno mengine, biashara rahisi kufanya faida yake ni kidogo, na biashara ngumu kufanya faida yake ni kubwa. Watu wengi wamekuwa wakikimbilia kutafuta biashara rahisi kufanya, biashara ambayo haitawapa stress, biashara ambayo wana uhakika wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz