UKURASA WA 1152; Ongea Na Watu….

By | February 25, 2018
Wahenga walisema kama unataka kupata ya watu, basi ongea na watu. Hii ni kauli yenye nguvu sana kwenye maisha ya mafanikio, kwa sababu huwezi kufanikiwa wewe mwenyewe. Chochote unachotaka kwenye maisha yako, kinatoka kwa wengine. Na ili uweze kukipata, unahitaji kuongea na watu. Dunia nzima inazunguka kwenye kitu kimoja, kuongea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In